WORD OF THE MONTH — ACTS 3:25
Ye are the children of the prophets, and of the covenant which God made with our fathers, saying unto Abraham, And in thy seed shall all the kindreds of the earth be blessed.
SHORT MESSAGE
You are called to be part of a blessed generation. Through your life, God can reach and bless others.
Mwimbaji mpya wa NYG WORSHIP LABEL anayejulikana kama Azzo Drey anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaoitwa “MAOMBI” Jumapili, tarehe 27 Septemba 2026.
Wimbo huo umerekodiwa katika MeFo Studio jijini Mbeya, akimshirikisha producer na mwimbaji NuelHenry, maarufu kama Kingson.
Azzo Drey amesema kuwa uimbaji wake umebadilika sana na anaamini hatua nyingine kubwa katika safari yake ya muziki inaanza sasa.
Meneja wa NYG WORSHIP, Afande Bright, amethibitisha ujio wa wimbo huo na kusema kuwa unatarajiwa kuleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya muziki wa Injili kwa vijana nchini Tanzania.
Aidha, Mkurugenzi Mkuu wa NYG WORSHIP LABEL, Amb. Apostle Eliud Bilali, amempongeza Azzo Drey na kumtakia mafanikio mema katika safari yake ya muziki. Pia amewataka wanafamilia wote wa NYG kujisajili kwenye chaneli ya YouTube ya NYG WORSHIP LABEL ili wasipitwe na matukio muhimu ya kimuziki.
Jipatie maarifa yatakayokusaidia kubadili mtazamo, kutambua fursa na kuinuka kiuchumi.
Bei ya kila kitabu: Tsh 5,000
Lipa kupitia M-Pesa: 0755 498 731
Jina: ELIUD DAVIES BILAL
Baada ya malipo, wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0755 498 731.